WAZIRI MKUU AKISALIMIANA NA ALIYEKUWA DC KAHAMA AMBAYE UTEUZI WAKE UMETENGULIWA NA JPM


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu wakati alipowasili kwenye viwanja vya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama kuzungumza na watumishi wa Umma, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Theme images by rion819. Powered by Blogger.