Breaking : MAGARI YAGONGANA USO KWA USO ARUSHA USIKU HUU...KUNA VIFO NA MAJERUHI


Watu wawili wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya Magari mawili yamegongana uso kwa uso usiku huu wa Jumapili Julai 29,2018 jijini Arusha.
Tutakuletea taarifa kamili hivi punde

Theme images by rion819. Powered by Blogger.