HII HAPA NGOMA KALI BALAA YA MANJU BHUHULU INAITWA BUDWEDWE....

Nakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili 'Manju Bhuhulu Lusafisha' kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga wimbo unaitwa Budwedwe....Ngoma inahusu wanawake kujipamba 'Kujipodoa"...

Itazame hapa chini hakika utaipenda
Theme images by rion819. Powered by Blogger.