SOKWE 'KOKO' ALIYEKUWA ANAONGEA KWA LUGHA ZA ISHARA AFARIKI

Koko ni sokwe ambaye alikuwa amejifunza Lugha ya ishara ya Marekani, amefariki huko California akiwa na umri wa miaka 46.

Sokwe huyo wa Magharibi Kaskazini mwa Marekani alikufa akiwa usingizini katika hifadhi ya Milima ya Santa Cruz California Jumanne, kulingana na mtunzaji wa hifadhi ya sokwe huyo.

“Koko – Sokwe ambaye alijulikana kwa ujuzi wake wa ajabu wa lugha ya ishara, na kama balozi mkuu wa wanyama wake waliohatarishwa alikufa jana asubuhi,” taarifa kutoka kwa Mtunzaji wa hifadhi
Theme images by rion819. Powered by Blogger.