WOLPER KAJIBU MAPIGO...KASEMA YA WANAUME WAKE ILIYOTOLEWA NA HARMONIZE NI NDOGO SANA, KAMUONEA

Mwanadada Wolper amemjibu msanii wa muziki Harmonize kwa kumwambia kuwa anaona kama ameonewa kutokana na list hiyo aliyoitao yeye kuhusu idadi ya wanaume aliowahi kutembea nao na kusema kuwa mbona kama list hiyo ni ndogo sana.


Wolper anasema kuwa kuna baadhi ya watu Harmonize amewasahau na kwake anaona kama ameonewa kwa sababu hiyo sio idadi kamili ya wanaume aliyowahi kuwa nao kabla ya kwake yeye , lakini pia wolper amemjibu kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao amewaweka kimakosa, kwaio kama anataka ni bora amfate mwenywe ili ampe aliowasahau na pia ampe majina ya ukweli.

"Mwanaume eeh mwanaume eeh hivi ule wimbo walioimba ni TMK, Embu tushushe mistari kidogo, ya ile nyimbo ya wanaume eeh #listndogosanaumenionea #alafukunawengineumekosea #njoodmnikupewaukweli #basiyulewanyumanikajuanimmasaikumbemzungu.




Advertisement

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527