Nakualika kutazama video mpya ya msanii wa Nyimbo za asili Nyanda Madirisha 'Obhado' Maliganya kutoka Kahama mkoani Shinyanga,ngoma inaitwa Sungu Sungu...Video hii imetengenezwa katika studio za Hardtone Videoz ikiongozwa na Director Manwell.Itazame hapa chini