RAIS MAGUFULI AMTEUA MIZENGO PINDA, MAKONGORO NYERERE KUWA WAJUMBE WA NEC


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wajumbe wa Nec Ndugu Mizengo Pinda waziri mkuu mstaafu na Makongoro Nyerere

Theme images by rion819. Powered by Blogger.