Wednesday, May 9, 2018

MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO JIJINI DAR

  Malunde       Wednesday, May 9, 2018


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya ambaye alikuwa mgeni rasmi (wa tatu toka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili toka kushoto) wakikata utepe wa kuzindua huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.

Wagongwa wakipata huduma ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo ilipofanyika uzinduzi katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Mmoja ya madaktari akionyesha mashine ya kusafisha damu.


Mkuu wa kitengo cha Dkt. Paschal Ruggajo (mwenye nguo nyeupe) akitoa ufafanuzi juu ya huduma wanayoitoa katika kitengo hicho.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Prof. Said Aboud akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (katikati) wakifurahia jambo wakati Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Prof. Said Aboud alipokuwa amesimama kwenda kutoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Mkuu wa kitengo cha huduma ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dkt. Paschal Ruggajo (mwenye nguo nyeupe) akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza uzinduzi iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila jana Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post