Video Mpyaaa!! BHUDAGALA MWANAMALONJA - MBALU

Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogezea ngoma zote za asili mara tu zinapotoka.Tayari tumeidaka hii ngoma mpya ya Gwiji wa Nyimbo za Asili Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara inaitwa Mbalu iliyotengenezwa katika studio za Asili Yetu Africa za jijini Mwanza.

Hii ni miongoni mwa nyimbo alizoziachia Aprili 1,2018.
Itazame hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.