Video Mpya : BHUDAGALA MWANAMALONJA - BHOKOO 'UKOO'


Ninayo ngoma mpya kabisa ya Gwiji wa Nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja inaitwa Bhokoo 'Ukoo'...Video hii kaifanyia katika studio za Asili Yetu Africa ikiongozwa na Gooder / Mong. Hii ni miongoni mwa ngoma zake mpya alizoziachia Aprili 1,2018.

Tazama video hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.