Ngoma Mpya ya Kijaluo : NELLY JAKANO Ft BUSY - AYOLO

Hii hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili anayeimba Kijaluo "Nelly Jakano" Kutoka mkoani Mara amemshirikisha Busy wimbo unaitwa Ayolo. Video imeongozwa na Maxexa.


Itazame hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.