Ngoma Mpya!! BHUDAGALA MWANAMALONJA - MALI YA BABA...NGOMA KALI MAJANGA MALI ZA URITHI

Nakualika kutazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara inaitwa Mali ya Baba. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo mpya alizoziachia Aprili 1,2018. 

Video imeongozwa na Gooder x Mong kutoka Asili Yetu Africa. Itazame hapa mtu wangu
Theme images by rion819. Powered by Blogger.