Inatisha : Inatisha : APIGWA NYUNDO KISHA KUPIGILIWA MISUMARI MINNE KICHWANI

Isaac Mutembei , jamaa aliyepigwa kichwani kwa nyundo na vilevile kupigiliwa misumari minne amepona na tayari kuruhusiwa kuondoka hospitali kuu ya Kenyatta.

Alifika katika hospitali hiyo mwezi mmoja uliopita baada ya kugongwa nyundo na kushindiliwa misumari minne kichwani akiwa kwenye duka eneo la Isiolo nchini Kenya.

Mutembei anasema kupona kwake ni muujiza na sasa anapania kumtumikia Mungu miaka yake yote.

ANGALIA VIDEO HAPA CHINI NA PICHA



Misumari ikiwa kwenye kichwa cha Mutembei




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527