Tuesday, January 30, 2018

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017...MATOKEO PIA YAPO HAPA ANGALIA

  Malunde       Tuesday, January 30, 2018
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017.Watahiniwa 10 waliofanya vizuri na shule wanazotoka ni kama ifuatavyo;

1.Felison Mdee -Marian boys
2.Elizabeth Mango -Marian girls
3.Anna Benjamin Mshana - Marian girls
4.Emanuel Lameck Makoye -Ilboru
5.Lukelo Thadeo Luoga-Ilboru
6.Fuadi Padic -Feza Boys
7.Godfrey Mwakatage -Uwata
8.Baraka Mohammed -Angels
9.Lilian Moses Katabaro -Marian girls
10.Everlyn Moses Mlowe -St. Fransis Mbeya
SHULE 10 BORA.

1. St. Francis Girls ya Mbeya2. Feza Boys ya Dar es salaam3. Kemebos ya Kagera 

4. Bethel Sabs Girls ya Iringa 

5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro 

6. Marian Girls Pwani 

7. Canossa ya Dar es salaam 

8. Feza Girls ya Dar es salaam 

9. Marian Boys ya Pwani 

10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam 

SHULE 10 ZA MWISHO KITAIFA
10. Mtule ya Kusini Unguja

9. Nyeburu ya Dar es salaam

8. Chokocho ya Kusini Pemba

7. Kabugaro ya Kagera

6. Mbesa ya Ruvuma

5. Furaha ya Dar es salaam

4. Langoni ya Mjini Magharibi

3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi

2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja

1. Kusini ya Kusini Unguja

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post