ZANZIBAR HEROES YAICHAPA RWANDA 3-1


Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes leo imepata ushindi wa magoli matatu kwa moja (3-1) dhidi ya Rwanda kwenye michuanao ya CECAFA inayoendelea kule nchini Kenya.

Magoli ya Zanzibar yamefungwa na Mudathir Yahaya,Mohamed Issa"Banka" na Kassim Khamiss.

Mchezo wa awali kwenye michuano hiyo,Zanzibar ilifungwa magoli mawili kwa bila na Kenya (2-0).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527