Video Mpya : NYANDA LUNDUMA - WAJASIRIAMALI


Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Nyanda Lunduma amemshirikisha Kidomela wimbo unaitwa Wajasiriamali. Video hii inayohusu ujasiriamali na nidhamu katika mikopo,imetengenezwa studio za Kalunde Media zilizopo mkoani Mwanza.


Bonyeza hapa chini kutazama video hii

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527