Video ya asili : MISOJI ISABUJO - KUCHOLA MALI...SEBENE KALI LA KISUKUMA


Tazama hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Misoji Isabujo kutoka mkoani Geita inaitwa Kuchola Mali,imetengenezwa Bicon Studio ya Kahama mkoa wa Shinyanga.

Itazame hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.