MSANII RICHARD MASELE ACHAGULIWA KUWA KATIBU WA SIASA,ITIKADI NA UENEZI CCM MKOA WA SHINYANGA


Msanii Richard Masele amechaguliwa kuwa Katibu wa itikadi,siasa na uenezi Chama Chama Mapinduzi mkoa wa Shinyanga.


Nafasi ya Msanii Richard Masele ilikuwa inashikiliwa na Emmanuel Stephen Mlimandago ambaye pia alikuwa miongoni mwa wagombea katika uchaguzi uliofanyika Disemba 5,2017.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.