RAIS MAGUFULI AMTEUA CHAGI KUWA MSAJILI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amteua Bi. Stella Tullo Chagi kuwa Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa Wilaya.


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi ametangaza kuwa uteuzi huo Bi. Stella Tullo umeanza rasmi toka Novemba 25, 2017.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527