Ngoma mpya ya Asili : MASANJA KUYANJA - MBIO ZA BAISKELI


Malunde1 blog inakualika kusikiliza wimbo mpya wa msanii wa nyimbo za asili Masanja Kuyanja kutoka kijiji cha Mwakuhenga kata ya Kagongwa wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga inaitwa Mbio za Baiskeli.

Bonyeza hapa chini kusikiliza wimbo huu
Theme images by rion819. Powered by Blogger.