Ngoma Mpya : MASANJA KUYANJA - KUMBUKUMBU

Ninayo hapa ngoma mpya ya msanii wa nyimbo za asili Masanja Kuyanja  kutoka kijiji cha Mwakuhenga kata ya Kagongwa wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga inaitwa Kumbukumbu. Isikilize hapa chini mtu wangu.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.