Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Makoye kutoka Chibuji, Hungumalwa mkoani Mwanza ametualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Bhabyaji umetengenezwa katika Ayub Records studio ya Hungumalwa. Sikiliza hapa chini
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok