TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA


Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria leo ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (Tawla) Mkoani Tanga kwenye ukumbi wa Hotel ya Nyumbani mjini Tanga 
Mratibu wa Chama cha Wanasheriawanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo leo 
Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa
watoto 
Mwanasheria wa Chama chaWanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga,Adolphina Mbekinga akizungumza
wakati akiwasilisha mada ya mfumo wa haki jinai kwa watoto Tanzania na taratibu zake (2&3)
Mratibu wa dawati la Jinsia na watoto Mkoa wa Tanga akizungumza katika mafunzo hayo 
Mkuu wa kituo cha Polisi Chumbangeni Mkoani Tanga, Mrakibu Msaidizi wa Polisi,ASP Saidi Mwagara akifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mafunzo hayo. 
Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli kushoto akichuchukua mada mbalimbali
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Tanga (OCD) akifuatiwa na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi hilo(SSP) Emanuel Minja
Mratibu wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub kulia akifutilia masuala mbalimbali kwenye semina hiyo 
Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli akifuatilia kulia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Aziza Lutalla

Mkuu wa kituo cha Polisi Chumbageni Mkoani Tanga,Saidi Mwagara kushoto ni Mwendesha Mashtaka wilaya ya Handeni,Selemani Kawambwa wakifuatilia mafunzo
hayo
Hakimu Mkazi Hilda Lyatuu kulia katikati ni Wakili wa Serikali Rebecca Msalangi wakifuatilia mada mbalimbali kwenye semina hiyo,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post