TAZAMA HAPA VIDEO 100 ZA NGOMA ZA ASILI ...ANGALIA KAMA UTAONA KABILA LAKO
Sunday, May 21, 2017
Habari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo nimeamua kukuletea nyimbo zaidi ya 100 za Makabila mbalimbali nchini Tanzania...Zipo za Kisukuma,Kikurya,Kihaya,Kiha,Kijita n.k
Social Plugin