Video: MBUNGE GODBLESS LEMA AFUNGUKA MAZITO BUNGENI...ATAKA KILA MBUNGE AFUNGWE MIEZI MINNE TU

Jana mkutano wa saba wa bunge uliendelea ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, ambaye alisimulia jinsi alivyotupwa selo miezi minne gerezani huku dhamana yake ikiwa wazi.


==>Msikilize hapo chini akiongea

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post