Video: JAMAA ARUSHA LIVE TUKIO LA MAUAJI AKIMUUA MTU

Moja kati ya habari ambazo zimekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni stori kumhusu Stevie Stephens  ambaye alitumia ukurasa wake wa Facebook kurusha LIVE tukio la mauaji wakati anamuua mtu mmoja kutoka Cleveland, Marekani aliyefahamika kama Robert Godwin (74)

Stevie Roberts amedai kufanya mauaji ya watu 13 akisisitiza kuwa anaendelea ambapo Polisi mjini Cleveland wanafanya jitihada za kumpata huku mtandao wa TMZ.com ukiripoti kuwa inasemekana chanzo cha kufanya mauaji hayo ni kuachwa na mpenzi wake.
Nimekuwekea video hapa chini ambayo inamuonyesha Stevie Roberts  akitaja majina yake kamili na idadi ya watu aliowapotezea maisha pamoja na mipango yake ya kuendelea kufanya mauaji…


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post