New Audio: PETTY BARAKA - KAZI YA MOYO...SIKILIZA HAPA

Ninao hapa wimbo mpya wa Petty Baraka unaitwa Kazi ya Moyo iliyotengezwa Studio ya Pamoja Records ya Nas B 


Petty Baraka ni msanii anayefanya kazi nzuri ya muziki,awali alikuwa Mabatini jijini Mwanza sasa anapatikana Temeke jijini Dar es salaam,wasiliana naye kwa simu namba 0653 710 388 

Petty Baraka anawaalika wapenzi wa muziki kumpokea kwa mikono miwili ili kutimiza ndoto zake katika muziki. 

Sikiliza wimbo Kazi ya Moyo ya Petty Baraka hapa chiniDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post