Video Mpya ya Asili: NYANDA NCHAINA 'MRITHI WA NYANDA MADIRISHA' - ILANGE

Malunde1 blog inakualika kutazama ngoma mpya  inaitwa "Ilange" ya msanii wa nyimbo za asili Nyanda Nchaina kutoka Kahama mkoani Shinyanga.Nyanda Nchaina ndiye aliyeridhi mikoba ya msanii Nyanda Madirisha aliyefariki mwezi Agosti mwaka 2016 akiwa wilayani Maswa mkoani Simiyu akijiandaa kufanya show.
Tazama hapa chini video hii

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post