Video ya asili : THE SUPER 'NYANKOLE' - MAUMIVU


Ninayo hapa ngoma mpya kali ya Mwana dada machachari katika nyimbo za asili "The Super Nyankole" kutoka Kahama mkoani Shinyanga.Ngoma hii inaitwa 'Maumivu'. Ametumia lugha mbili,Kisukuma na Kiswahili.
Bofya hapa chini Kutazama video hii kali iliyo katika ubora wa hali ya juu iliyoongozwa na Masesa kutoka Angel Studio za Kahama

Theme images by rion819. Powered by Blogger.