VIDEO MPYA YA MSANII MATATA WA NYIMBO ZA ASILI NG'WANA ISHUDU - MAKABURI
Msanii wa Nyimbo za asili Ng'wana Ishudu kutoka Ihalo Luhumbo Shinyanga vijijini ametualika kuangalia ngoma yake mpya inaitwa Ujenzi wa makaburi..Tazama hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553