ANGALIA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2016/2017 -AWAMU YA KWANZA


Bodi ya mikopo ya elimu ya juu wametangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo 2016/2017 awamu ya kwanza.

Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo.

Kumbuka format ya form 4 no. ni s0001.0001.0001 na sio s0001/0001/0001

Link hii hapa  http://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/olas/AllocationFreshers

 
Chini limeambatanishwa FILE la Orodha ya Waliopata Mkopo 2016/17  

1.First List Of Loan Beneficiaries For Academic Year 2016/2017. << Click here>>
  

2.First Year Loan Allocations Breakdown for 2016/17 . <<Click here>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post