Video tata ya Asili !! MSANII SHINJE ORIGINAL- KUSOMA...KAMA WEWE NI MUOGA USIJARIBU KUFUNGUA

 Ni weekend nyingine Malunde1 blog inakukutanisha na wasanii wa nyimbo za asili.Kila weekend huwa tunakuwa na ngoma za wasanii wa nyimbo za asili...Leo tunakusogezea video ya msanii wa nyimbo za asili Shinje Original ,wimbo unaitwa Kusoma.Video inatisha kama wewe ni muoga usiangalie kabisa kwa sababu anaonesha mambo ya asili.
Tazama Hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post