Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hotuba katika swala ya Idd El Hajj iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.Swala ikiendelea.
Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Hajj
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Social Plugin