Angalia Picha: RAIS MAGUFULI AKITEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM,SEPTEMBA 26,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi  Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wafanyakazi waliokuwa wakimshangilia wakati akitembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa mapendekezo kwa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Kontena wa Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu zoezi la uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kuangalia sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozwa na Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu akikagua mtambo wa uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu chumba cha mitambo ya uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini katika bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Wafanyakazi wa bandari ya Dar es salaam wakimlaki kwa furaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Mwenyekiti wa Wafanyakazi wa Bandarini Bw. Mashaka Karume akieleza baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Wafanyakazi wa bandari ya Dar es salaam wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwaaga na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam Septemba 26, 2016

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527