Picha: MWANAHABARI NGULI JENERALI ULIMWENGU APATA AJALI



Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari ni kwamba Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali asubuhi mapema leo. Yupo hospitali Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527