Tazama Video!! Mchekeshaji Maarufu Masanja Mkandamizaji Amvisha Pete Mchumba Wake
Monday, July 11, 2016
Miongoni mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana anaedaiwa kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake huyo wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc Pilipili na Emanuel Mbasha.
Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin