Weekend hii nimesogezea video ya Msanii wa nyimbo za asili Maige Singu kutoka Magu mkoani Mwanza anayeimba kwa lugha ya Kisukuma ,wimbo unaitwa Machozi ya Simba..Tazama hapa chini