Kumbe Kuwa Mhudumu wa Ndege Ni Kazi Ngumu Hivi?? Tazama Picha Wachina Wakipewa Mafunzo
Tuesday, June 21, 2016
Hii
imeripotiwa na mtandao wa Daily Mail ambapo nchini China wahudumu wa
ndege wanaandaliwa kwa mafunzo makali ya kijeshi, mafunzo hayo
yametolewa ili kuwaandaa pale dharura inapotokea kwenye anga. Baada ya
kuhitimu mafunzo wamechaguliwa kuwa maofisa usalama wa anga mbali na
majukumu yao mengine ya uhudumu ndani ya ndege.
.
.
.
.
.
.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin