Ninayo hapa Video ya Mwanamama Machachali anaiyeimba kwa Lugha ya Kisukuma,Mama Ushauri Kutoka Tinde Shinyanga,wimbo unaitwa "Dunia"..Ni video Kali ,wanenguaji wake balaa mtupu viuno kama havina mfupa



Tazama hapa chini