Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Amatus Liyumba Afariki Dunia


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia leo.
Msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar es salaam. 

RIP Amatus Liyumba

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post