Picha!! Mwili Uliozama na Gari Baharini Jijini Dar es Salaam Wapatikana


Mnamo majira ya saa 10 alfajiri, gari aina ya Hiace iliteleza toka kwenye kivuko na kutumbukia katika bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.Gari hiyo ilikuwa na abiria wawili. Mpaka majira ya asubuhi, jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja na likaendelea kuutafuta mwili wa pili.


Mchana huu umepatikana mwili wa pili wa Nice Karagwe huku zoezi la kuitoa gari likiendeleaDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post