TAZAMA VIDEO MPYA YA JUMA NATURE Ff CANNIBAL- Inaitwa KIDARUSO,NI NGOMA KALI BALAAJuma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila wakati, mpya ya leo ya Juma Nature ni hii kamshirikisha Cannibal wa Kenya inaitwa ‘Kidaruso",bonyeza play hapa chini

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527