LEO NI KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA KWA MENEJA WA RASI FM NA MDAU MKUBWA WA MALUNDE1 BLOG


Leo terehe 25.3.2016 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa meneja wa Radio Rasi FM 103.7 na mdau mkubwa wa Malunde1 blog,bwana Msafiri Andrew maarufu kwa jina la “Babu”.

Babu leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe.
 
Msafiri Andrew ni mwandishi wa habari aliyebobea katika uandaaji wa vipindi vya redio na sasa anaitumikia Rasi Fm ya mkoani Dodoma.

Amekuwa katika tasnia ya habari nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka saba sasa akitumia radio mbalimbali ikiwemo Ors fm Simanjiro,Kibo Fm Moshi, Moshi Fm Radio 5 Mpanda Fm na sasa ni meneja wa Rasi Fm radio Dodoma.

Happy birth day to you brother!!


Angalia picha hapa chini akiwa katika pozi mbalimbali
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post