Wasukuma Shikamoo!! HII HAPA VIDEO MPYA YA MWANAKWELA-Inaitwa ENZI ZILE,WANENGUAJI UTAFIKIRI HAWANA MIFUPAMsanii wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma,Mwanakwela kutoka Kahama Shinyanga,ameachia ngoma yake mpya,inaitwa "Enzi Zile".Ni wimbo wenye ujumbe mzito anazungumzia mambo mbalimbali ambayo yalikuwa yanafanywa na mababu zetu lakini siku hizi yanapuuzwa.


Mwanakwela ni miongoni mwa wasanii wa nyimbo za asili wenye wanenguaji waliobarikiwa kunengua viuno,Tazama video hii hapa chini ujionee Kazi hii nzuri


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post