Picha!! KOMREDI KINANA ATINGA SINGIDA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone alipowasili mjini Singida LEO JIONI, kwa ajili ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika mkoani Singida Februari 6, mwaka huu.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na wananchi.Komredi Kinana akisalimiana na Kone.Komredi Kinana akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi baada ya kuwasili Singida leo.


Nape Nnauye akisalimiana na wananchi alipowasili mjini Singida leo


Komredi Kinana akiwa na baadhi ya wananchi wa Singida waliomlakiKomredi Kinana na Nape wakiwa na wafuasi wa CCM pamoja na wananchi baada ya kuwasili mjini Singida.Komredi Kinana akiwa na Kone (kulia) na AmanziWananchi wakiimba wimbo wakati wa kumlaki Komredi KinanaKomredi Kinana akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Kone

PICHA ZOTE NA KAMANDA WA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post