TAZAMA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ NA AKA KUTOKA AFRIKA KUSINI - MAKE ME SING
Anonymous-
Ni Muunganiko wa radha mbili kutoka nchi mbili,Diamond Planumz kutoka Tanzania na AKA kutoka Afrika Kusini,wameachia video yao inaitwa Make Me Sing,Tazama hapa chini mtu wangu,hakika utaipenda
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527