Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wasukuma mpoo!! ANGALIA HAPA VIDEO MPYA YA MSANII SHINJE- Wimbo unaitwa BHOMALAYA




Ni wakati mzuri wa kuburudika na nyimbo za asili...Tumekusogezea wimbo mpya wa msanii Shinje anayeimba kwa lugha ya Kisukuma wimbo unaitwa Bhomalaya..Ni Video yenye ujumbe mzito lakini pia inaburudisha sana...Wanenguaji katika Video hii ni balaa.

Angalia video hii hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com