Ngoma Mpya kabisa!!! ANGALIA HAPA VIDEO YA BHUDAGALA MWANAMALONJA- Wimbo MHUNDA...NI MKALI BALAAA




Tumekuletea video mpya inaitwa "Mhunda" ikiwa na maana ya "Tumboni" kwa lugha ya Kiswahili kutoka kwa msanii maarufu wa nyimbo za asili ambaye huimba kwa lugha ya Kisukuma ndugu Bhudagala Mwanamalonja kutoka kanda ya Ziwa Victoria.




Wimbo Mhunda ni wimbo mpya unaobeba albamu yake mpya 2015 inayoitwa "Mhunda".


Malunde1 blog ni mdau mkubwa wa wasanii wa nyimbo za asili ndiyo maana tukaanzisha kipengele cha >>>Nyimbo za Asili kwa ajili ya wapenzi wa nyimbo za asili..bonyeza neno Nyimbo za Asili usikilize na uangalie nyimbo nyingi zaidi za asili.


Bofya hapa chini utazame wimbo Mhunda

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post