HII HAPA ORODHA YA MASTAA WA FILAMU NA SOKA WANAOFANANA, DI MARIA, MESSI NA KOLOU TOURE WAPO PIA… TAZAMA HAPA
Sunday, September 06, 2015
Kuna usemi unaosema duniani watu wawili wawili kwa maana ya kuwa kila mtu duniani ana mtu aliyefanana naye. Huenda ukawa hujawahi kuonana na mtu unayefanana naye ila huwa inaamika kuwa yupo tu sema bado haijatokea bahati ya nyinyi kukutana. Septemba 6 nakusogezea hii list ya mastaa wa soka na filamu wanao fanana.
Angel Di Maria kushoto anafanana na muigizaji Dev Patel.
Lionel Messi anatajwa kufanana na muigizaji Dustin Hoffman
Staa wa Senegal Demba Ba anatajwa kufanana na Tyrese Gibson
Olivier Giroud wa Arsenal anafanana na Errol Flynn
Kolo Toure yeye anafanana na staa wa movie ya Mandela Idris Elba Fred kutokea Brazil anafanana na Dustin Diamond
Fernando Torres kutokea Atletico Madrid anafananishwa na Sacha Baron Cohen
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin