ANGALIA VIDEO MPYA YA MSANII MACHACHALI WA NYIMBO ZA ASILI LADY KILY- Wimbo unaitwa WAPE SALAMU
Friday, September 11, 2015
Yule Mama machachali maarufu kwa jina la Lady Kily anayeimba kwa lugha ya Kisukuma ameachia ngoma nyingine Mpyaa....Nimekusogezea video yake mpya inaitwa Wape Salamu...
Angalia Video yake hapa hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin